Habari Mtanzania mwenzangu, Napenda kuitambulisha Blog hii mbele yako ambayo itakuwa ikikuletea habari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiutamaduni lengo likiwa ni kuwekana sawa katika maeneo hayo.
Yapo mambo mengi yanayotokea katika jamii kila siku lakini baadhi yamekuwa yakitolewa taarifa huku mengine yakikosa nafasi hiyo, basi kupitia Blog hii kwa kushirikiana nawe naamini tutayaibua hayo.
Watanzania kila kitu kinawezekana chini ya jua jaribu sasa kuwa mtu mwingine. Timiza ndoto yako kwa vitendo.
ReplyDeleteHabari Mtanzania mwenzangu, Napenda kuitambulisha Blog hii mbele yako ambayo itakuwa ikikuletea habari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiutamaduni lengo likiwa ni kuwekana sawa katika maeneo hayo.
ReplyDeleteYapo mambo mengi yanayotokea katika jamii kila siku lakini baadhi yamekuwa yakitolewa taarifa huku mengine yakikosa nafasi hiyo, basi kupitia Blog hii kwa kushirikiana nawe naamini tutayaibua hayo.