Friday, November 26, 2010

Romana Blog

2 comments:

  1. Watanzania kila kitu kinawezekana chini ya jua jaribu sasa kuwa mtu mwingine. Timiza ndoto yako kwa vitendo.

    ReplyDelete
  2. Habari Mtanzania mwenzangu, Napenda kuitambulisha Blog hii mbele yako ambayo itakuwa ikikuletea habari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiutamaduni lengo likiwa ni kuwekana sawa katika maeneo hayo.

    Yapo mambo mengi yanayotokea katika jamii kila siku lakini baadhi yamekuwa yakitolewa taarifa huku mengine yakikosa nafasi hiyo, basi kupitia Blog hii kwa kushirikiana nawe naamini tutayaibua hayo.

    ReplyDelete